Filtrer par genre

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2770 - Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"
0:00 / 0:00
1x
  • 2770 - Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"

    Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.

    Fri, 19 Apr 2024 - 12min
  • 2769 - Taarifa ya Habari 19 Aprili 2024

    Waziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kanisa wiki hii.

    Fri, 19 Apr 2024 - 15min
  • 2768 - Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii

    Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.

    Fri, 19 Apr 2024 - 11min
  • 2767 - Taarifa ya Habari 18 Aprili 2024

    Askofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa lakigaidi, akisema ame msamehe kijana anaye shukiwa kuwajibika kwa shambulizi hilo.

    Thu, 18 Apr 2024 - 07min
  • 2766 - Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora

    Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.

    Tue, 16 Apr 2024 - 12min
Afficher plus d'épisodes