Podcasts by Category

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

811 - Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali
0:00 / 0:00
1x
  • 811 - Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali

    Hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato

    Wed, 24 Apr 2024
  • 810 - Marekani kupendekeza suluhu kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC kwa njia ya mazungumzo
    Tue, 23 Apr 2024
  • 809 - Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC

    Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.

    Tue, 23 Apr 2024
  • 808 - Maoni yako kwenye mada huru makala habari rafiki
    Fri, 29 Mar 2024
  • 807 - Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
    Wed, 27 Mar 2024
Show More Episodes