Filtrar por gênero

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2774 - Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia
0:00 / 0:00
1x
  • 2774 - Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia

    Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

    Thu, 25 Apr 2024 - 13min
  • 2773 - Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria

    Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.

    Wed, 24 Apr 2024 - 09min
  • 2772 - Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024

    Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.

    Tue, 23 Apr 2024 - 18min
  • 2771 - Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia

    Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

    Tue, 23 Apr 2024 - 12min
  • 2770 - Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"

    Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.

    Fri, 19 Apr 2024 - 12min
Mostrar mais episódios