Podcasts by Category

VOA Express - Voice of America

VOA Express - Voice of America

VOA

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.

2171 - Umoja wa Mataifa wasema kuwa mashirika ya kimataifa ya wanawake ulimwenguni yapo kwenye hatari ya kuingiliwa kisiasa. - Aprili 17, 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2171 - Umoja wa Mataifa wasema kuwa mashirika ya kimataifa ya wanawake ulimwenguni yapo kwenye hatari ya kuingiliwa kisiasa. - Aprili 17, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Wed, 17 Apr 2024 - 29min
  • 2170 - Uraibu wa dawa za kulevya waripotiwa kuongezeka kwa kiasi kikubwa Mombasa. Wataalam wanasemaje? - Aprili 16, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Tue, 16 Apr 2024 - 29min
  • 2169 - Vijana wa Afrika mashariki wanazungumzia mitandao ya kijamii inavyoficha uhalisia wa maisha ya mtaani. - Aprili 15, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Mon, 15 Apr 2024 - 29min
  • 2168 - Mafuriko yamesababisha vifo na uharibifu Tanzania. Wafanyabiashara wamegoma Uganda. - Aprili 12, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Fri, 12 Apr 2024 - 30min
  • 2167 - VOA Express - Aprili 11, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Thu, 11 Apr 2024 - 29min
Show More Episodes