Filtrar por gênero
- 6 - Kupendwa na Mungu - Wanawake wa Imani Kip #1
Je, umezingatia kwamba sisi wanawake tunacho kitu kama sanduku mioyoni mwetu. Sehemu inayopaswa kujaa upendo. Ni jinsi Mungu alivyotuumba. Lakini mara nyingi ninasikia utupu hapo, au tuseme nina kiu. Kiu ya kupendwa. Ebu fikiria ungeambiwa maneno matamu haya: “mna thamani mbele yangu, kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda.” Haya ni maneno ya Mungu.
Mon, 02 Jul 2018 - 31min - 5 - Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2
Tunafahamu kwamba tuna shida mbalimbali katika maisha yetu. Shida ya uchumi ni rahisi kutambua, na wengi wanapambana kila siku ili wapate hata kidogo tu cha kulisha familia. Kwa nini Mungu haoni hali hii na kunisaidia kama ananipenda?
Sun, 01 Jul 2018 - 32min - 4 - Yesu anapiga hodi kwako - Wanawake wa Imani Kip. #3
Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami. Uf. 3:20
Sat, 30 Jun 2018 - 33min - 3 - Mwanamke Msamaria anawekwa huru na Yesu
Mwanamke tutakayemkuta leo alikuwa anatafuta upendo, uhuru na amani kama tulivyoongea kipindi kingine, sisi wote tunatafuta mambo haya juu ya mambo yote mengine. Lakini huyu mwanamke pale alipoangalia na kutafuta, hakuweza kuyapata. Labda pia wewe uko kwenye hali ya kutafuta sana upendo, uhuru na amani, lakini baado hujayapata vizuri. Labda unaangalia mahali ambapo haipo!
Fri, 29 Jun 2018 - 38min - 2 - Ushuhuda wa Dorena Jakobo 1/2 - Wanawake wa Imani kip. #5Thu, 28 Jun 2018 - 26min
- 1 - Ushuhuda wa Dorena Jakobo 2/2 - Wanawake wa Imani
Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo, "Mama Eliyah", kuhusu jinsi baba yake Dorena, aliokoka kupitia yeye.
Wed, 27 Jun 2018 - 25min
Podcasts semelhantes a Wanawake wa Imani
- Conversations ABC listen
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Dateline NBC NBC News
- 財經一路發 News98
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- アンガールズのジャンピン[オールナイトニッポンPODCAST] ニッポン放送
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 吳淡如人生實用商學院 吳淡如
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Outros Podcasts de Religião e Espiritualidade
- Translation of the Quran in Swahili Unknown
- Uhusiano Kati ya Huduma Ya YESU na Ile Ya YOHANA MBATIZAJI Kama Ilivyoandikwa Katika Injili Nne The New Life Mission
- Joel Osteen Podcast Joel Osteen, SiriusXM
- Joyce Meyer's Talk It Out Podcast Joyce Meyer
- Neno @ttb.twr.org/swahili Thru the Bible Swahili
- قصص القرآن علم ينتفع به
- Unter Pfarrerstöchtern ZEIT ONLINE
- FUATA BIBLIA IKUONGOZE FUATA BIBLIA
- Joyce Meyer Enjoying Everyday Life® Radio Podcast Joyce Meyer
- Swahili Bible With Phillip Odera phillip odera
- KOINONIA CONNECT with Apostle Joshua Selman Blessing Masawi
- Apostle Joshua Selman Apostle Joshua Selman
- Living a Legacy Moody Radio
- IQRA (Read) IQRA
- تفسير القرآن الكريم محمد متولي الشعراوي
- Mufti Menk Muslim Central
- Sein und Streit Deutschlandfunk Kultur
- العلم والإيمان - د. مصطفى محمود علم ينتفع به
- Islamic Podcast Islamic Archive
- Islamic Tel- Tech