Podcasts by Category

Alfajiri - Voice of America

Alfajiri - Voice of America

VOA

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo. Ratiba: Monday-Friday Saa (kwa saa za huku): 06:00 UTC saa ya kimataifa 0300 Muda: 30 Sikiliza: Podcast

2235 - Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2235 - Amnesty International yazisuta Zimbabwe, DRC na Ethiopia kwa rekodi mbaya ya haki za binadamu - Aprili 25, 2024

    Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.

    Thu, 25 Apr 2024 - 29min
  • 2234 - Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania - Aprili 24, 2024

    Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa mradi wa utalii na uhifadhi nchini Tanzania

    Wed, 24 Apr 2024 - 29min
  • 2233 - Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024

    Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.

    Tue, 23 Apr 2024 - 29min
  • 2232 - Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York - Aprili 22, 2024

    Hoja za ufunguzi zatarajiwa kusikilizwa katika kesi inayomkabili Donald Trump New York

    Mon, 22 Apr 2024 - 30min
  • 2231 - Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani - Aprili 19, 2024

    Israeli imeishambulia Iran - Maafisa wa Marekani

    Fri, 19 Apr 2024 - 30min
Show More Episodes