Podcasts by Category

CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO

CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO

Deo Sukambi

Sababu zinazochochea migongano katika mahusiano na kupelekea watu wengi kushindwa kufurahia maisha na wenzi wao

3 - KWANINI WANAUME HUSAPOTI KIRAHISI WATU BAKI KULIKO WAKE ZAO
0:00 / 0:00
1x
  • 3 - KWANINI WANAUME HUSAPOTI KIRAHISI WATU BAKI KULIKO WAKE ZAO

    Je, kwanini huwa ni rahisi mume kusapoti mama yake, ndugu zake, rafiki zake, wafanyakazi wenzake, watoto wake? Jibu hili hapa

    Fri, 03 Apr 2020 - 05min
  • 2 - JE, WANAUME HAWAPENDI WANAWAKE WALIOFANIKIWA?

    Kwanini wanaume hawapendi wanawake wenye uwezo? Je, wapo kinyume na uwezo wao? Na kwanini wanaonekana kuwapenda zaidi wanawake duni? Majibu haya na unaweza kupata ufafanuzi zaidi katika kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME..piga namba/whatsap 0715104034 kupata nakala yako

    Thu, 02 Apr 2020 - 03min
  • 1 - CHACHU YA MIGOGORO YA MAHUSIANO

    Mahusiano ni jambo zuri ikiwa yanakuwa katika hali ya amani na furaha. Tofauti na matarajio ya wengi wanapikuwa kwenye mahusiano Watu wanaumia, wanaumizwa na wanaumizwa. Ikiwa kuna jambo moja ambalo unaweza kufanya ni kujua nini hasa kinachochochea kwa kiwango kikubwa migogoro hii katika nyakati hizi kuliko wakati mwingine wowote..katika episode hii Deogratius ametoa dondoo chache muhimu ambazo zimekuwa chachu kwa migogoro mingi katika mahusiano. Kitabu cha USICHOJUA KUHUSU WANAUME sasa kinapatikana. Kwa mawasiliano piga namba 0715104034

    Mon, 30 Mar 2020 - 10min