Filtra per genere

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2793 - Namna yakupata leseni yakuendesha gari
0:00 / 0:00
1x
  • 2793 - Namna yakupata leseni yakuendesha gari

    Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

    Wed, 15 May 2024 - 12min
  • 2792 - Taarifa ya Habari 14 Mei 2024

    Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.

    Tue, 14 May 2024 - 17min
  • 2791 - Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC

    Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    Tue, 14 May 2024 - 09min
  • 2790 - Taarifa ya Habari 10 Mei 2024

    Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.

    Fri, 10 May 2024 - 18min
  • 2789 - Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho

    Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.

    Fri, 10 May 2024 - 08min
Mostra altri episodi