Nach Genre filtern

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2790 - Taarifa ya Habari 10 Mei 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2790 - Taarifa ya Habari 10 Mei 2024

    Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.

    Fri, 10 May 2024 - 18min
  • 2789 - Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho

    Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.

    Fri, 10 May 2024 - 08min
  • 2788 - Taarifa ya Habari 9 Mei 2024

    Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja ambayo imefichua kuwa uchimbaji utaendelea zaidi ya tarehe hiyo.

    Thu, 09 May 2024 - 06min
  • 2787 - Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo

    Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.

    Thu, 09 May 2024 - 06min
  • 2786 - Taarifa ya Habari 7 Mei 2024

    Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine wa nje.

    Tue, 07 May 2024 - 20min
Weitere Folgen anzeigen