Filtrar por género

Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

223 - Historia na Utamaduni wa wanyakyusa na Kidum pamoja na Esther Nish ndani ya Changu Chako.
0:00 / 0:00
1x
  • 223 - Historia na Utamaduni wa wanyakyusa na Kidum pamoja na Esther Nish ndani ya Changu Chako.

    Furaha ilioje kukutana nawe Jumapili ya leo katika Makala Changu chako Chako Changu, ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophpone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya makala kuhusu historia ya Wanyakyusa, na kwenye Miuziki nitakuletea mwanamuziki Esthernish pamoja ni Kidum. Mimi ni Ali Bilali bienvenue. Ama Karibu.

    Kumbuka pia kutufollow kwa Instagram @billy

    Sun, 19 May 2024
  • 222 - Sehemu ya makala kuhusu utamaduni wa waluo na waluhya hasa kwenye maswala ya ndoa

    Karibu katika Makala haya changu chako chzako changu Jumapili ya leo ambapo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu tamaduni za wa Luhya na wa luo nchini Kenya ambapo sasa tutaangazia kuhusu tamadunbi za ndoa, na kwenye le parler francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Mbosso kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali Karibu.

    Thu, 16 May 2024
  • 221 - Utamaduni wa watu wa kabila la Waluo na Waluhya kutoka nchini Kenya
    Sun, 05 May 2024
  • 220 - Maoni ya washiriki katika kongamano la idhaa za kiswahili duniani sehemu ya mwisho

    Ni jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni, le parler francophone na Muziki, na leo tunahitimisha mlolongo wa Makala kuhusu kongamano la idhaa za kiswahili duniani lililofanyika huko Mbeya, na kwenye le parler francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni kutoka Alliance Francaise ya Arusha na Nairobi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki King Kaka kutoka nchini Kenya.

    Sun, 21 Apr 2024
  • 219 - Sehemu ya tatu ya Makala kuhusu kongamano la nne la idhaa za Kiswahili duniani

    Ni Jumapili nyingine tunakutana katika Makala Changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni, le parler francophone na Muziki, leo ninakuletea mazungumzo kuhusu ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili, ikiwa ni kauli mbiu ya kongamano la nne za idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika mkoani Mbeya Mwezi Machi. Na kwenye le parler francophone nitakuletea mradi wa Creation Afrika unaonadaliwa na Allliance francaise ya Nairobi

    Sun, 14 Apr 2024
Mostrar más episodios