Podcasts by Category

Kiswahili Kitukuzwe

Kiswahili Kitukuzwe

Elias Muhatia

Learning Swahili through storytelling

13 - Mahusiano
0:00 / 0:00
1x
  • 13 - Mahusiano

    Leo tumejiunga na gwiji wa Kiswahili, mwalimu Mariana Kweyu kujadili Mahusiano kwenye maisha ya binadamu.

    Mariana pia ana idhaa ya Kiswahili pale YouTube. Unawezakujifunza zaidi kutoka kwake kupitia https://www.youtube.com/@swahiliwithmariana2246

    Sat, 04 Feb 2023 - 19min
  • 12 - Maana na Dhima ya Fasihi

    Mwalimu James Muhatia aeleza kiundani kuhusu maana na dhima ya Fasihi. Kupitia kipindi hiki, utaipata fursa ya kujua maana ya Sanaa. Kwa maelezo zaidi kuhusu Fasihi na masomo ya Kiswahili, mwandikie mwalimu Muhatia kupitia jamesmuhatia866@gmail.com.

    Sat, 04 Feb 2023 - 09min
  • 11 - Mwongozo wa tamthilia ya Bembea ya Maisha

    James A. Muhatia atueleza kwa mukhtasari mwongozo aliouchapisha kuhusu tamthilia ya Bembea ya Maisha (Timothy Arege, 2022). Kwa maelezo zaidi, mwandikie James barua pepe kupitia jamesmuhatia866@gmail.com.

    Wed, 02 Nov 2022 - 13min
  • 10 - Tofauti kwenye Vizazi (Generational Differences)

    Je, kuna tafauti zipi kwenye vizazi tofauti? Tabia zipi kwenye vizazi tafauti zinakukera? Tujadili... #vizazi #tabia

    Sun, 16 Oct 2022 - 08min
  • 9 - Chimbuko la Kiswahili

    Je, Kiswahili kina umaarufu gani? Gwiji wetu wa Kiswahili Bw. Edward Ombui Mogusu anaeleza zaidi

    Fri, 26 Aug 2022 - 02min
Show More Episodes