Filtrar por gênero

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

RFI Kiswahili

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

166 - Mradi wa Sola katika kisiwa cha Ndeda, nchini Kenya, waleta mabadiliko kwa wakaazi
0:00 / 0:00
1x
  • 166 - Mradi wa Sola katika kisiwa cha Ndeda, nchini Kenya, waleta mabadiliko kwa wakaazi
    Tue, 21 May 2024
  • 165 - Katika makala haya utafahamu kuhusu vimbunga na athari zitokanazo na vimbunga
    Mon, 20 May 2024
  • 164 - Majadiliano kuhusu mkataba wa kisheria wa kimataifa kudhiti uchafuzi wa taka za plastiki
    Tue, 14 May 2024
  • 163 - Nchi za Afrika Mashariki zaendelea kushuhudia mvua kubwa zikihusishwa na El Nino
    Mon, 06 May 2024
  • 162 - Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika

    Kulingana na jumuiya ya IGAD,  zaidi ya vifo 190 vimeriotiwa  katika eneo la pembe ya Afrika, huku watu wengine laki 7 wakiyahama makazi yao.

    Mon, 29 Apr 2024
Mostrar mais episódios