Podcasts by Category
- 162 - Hali ya mafuriko katika nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya AfrikaMon, 29 Apr 2024
- 161 - Ukulima wa baharini pwani ya KenyaTue, 23 Apr 2024
- 160 - Ukulima wa minyoo wa ardhini(Earthworm) katika utengenezaji wa mbolea asiliTue, 16 Apr 2024
- 159 - Kenya: Upanzi wa mimea yenye uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchiMon, 15 Apr 2024
- 158 - Tamasha la mazingira liliandaliwa jijini GOMA nchini DRCTue, 02 Apr 2024
- 157 - Wakulima nchini Kenya wajiandaa kwa msimu wa kupandaMon, 18 Mar 2024
- 156 - Akina mama wahifadhi mashamba ya pweza Lamu katika bahari hindi
Sote tunataka familia zetu ziwe na chakula cha kutosha ili kula kile ambacho ni salama na chenye lishe. Na lengo la 2 la maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ni ulimwengu usio na njaa ifikapo 2030.
Lakini licha ya juhudi zinazowekwa, suala la njaa na uhaba wa chakula limeonyesha ongezeko la kutisha tangu 2015, hali hii ikichochewa na mseto wa mambo ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa na upungufu wa uzalishaji wa chakula.
Kisiwani Pate jimboni Lamu, hapa akina mama wana zaidi ya mashamba matatu ya pweza katika bahari hindi, kwa manufaa ya chakula na mapato.
Sat, 16 Mar 2024 - 155 - Jukumu la ardhi oevu kwa mazingiraMon, 19 Feb 2024
- 154 - Mchango wa waziri mkuu wa zamani hayati Edward Lowassa katika siasa za Tanzania na UkandaWed, 14 Feb 2024
- 153 - Matumizi ya pikipiki za umeme katika kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni kwenye mazingira
Wiki chache zilizopita, tulikuletea makala kuhusu pikipiki za umeme, na kupitia ukurasa wetu wa Facebook RFI KIswahili, tukawa na maswali mengi kuhusu pikipiki hizi.
Katika makala haya tumemwalika, Raymond Kitunga, kutoka kampuni nyingine inayotengeneza pikipiki za umeme, Spiro Kenya, na hapa atakuwa anayajibu baadhi ya maswali kuhusu pikipiki hizi za umeme.
Mon, 05 Feb 2024 - 152 - Ukulima wa wadudu na hasa nzi aina ya black Soldier Fly, kama njia mbadala ya chakula cha mifugo waoMon, 05 Feb 2024
- 151 - Matumizi ya pikipiki za umeme katika kutunza mazingira kwa kupunguza uzalishaji wa hewa ukaaMon, 22 Jan 2024
- 150 - Shirika la GreenVenture, la jijini Arusha inavyotumia taka za plastiki kuunda vifaa vya kujengeaMon, 15 Jan 2024
- 149 - Hatua zitakazochukuliwa baada ya azimio la pamoja la COP28 huko Dubai
Mkutano wa COP28 uliafikia mataifa mbalimbali kuanza polepole kuachana na matumizi ya mafuta ya kisukuku, mataifa ya Afrika yakitoa wito wa mataifa yenye nguvu na yanayozalisha nishati hii kwa wingi kuwa mfano katika utekelezwaji wa hilo.
Mwenyekiti wa shirika la vijana la Youth Survival Organization, YSO, linalojihusisha pia na mzingira, Humphrey Mrema kutoka nchini Tanzania, anaangazia jinsi mkutano wa COP28 ulivyokuwa na mambo yanayoweza kutekelezwa na nchi kufikia mwaka 2030 lakini pia mwaka 2050.
Sat, 23 Dec 2023 - 148 - Mbinu za kiasili ili kukabiliana na changamoto za kijamii na hali ya hewa
Suluhu za kiasili zinashirikisha hatua mbalimbali za kulinda na kurejesha mandhari ya bahari, maeneo ya maji na maeneo ya mijini ili viumbe hai waweze kukabiliana na changamoto kama vile usalama wa chakula na maji, mabadiliko ya hali ya hewa, hatari za maafa na afya ya binadamu.
Suluhu hizi zinasaidia urejesho wa misitu, ardhioevu na pia kuabdili mbinu za kilimo zinazosaidia udongo wenye afya.
Kuangazia suluhu hizi za kiasili katika mabadiliko ya hali ya hewa, tunaungana naye Fredrick Kihara, Mkurugenzi wa hazina ya maji Afrika katika shirika la The Nature Conservancy, TNC, nchini Kenya.
Thu, 14 Dec 2023 - 147 - Jamii katika Pwani ya Kenya inavyotumia mswaki "Toothbrush" kurejesha mifumoikilojia ya matumbawe
Mkutano wa mazingira wa kimataifa COP28 unaendelea jijini Dubai, Saudi Arabia, lengo lake likiwa ni kuangazia namna ya dunia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Katika muktadha huo, mifumoikolojia ya bahari, ni nguzo muhimu katika kuisaidia dunia kuafikia lengo hili, kutokana na sababu kuwa bahari inasaidia kufyonza asilimia 25 ya hewa ya kaboni.
Hata hivyo, ongezeko la utoaji wa gesi hamijoto umeathiri pakubwa mifumoikolojia ya bahari zetu.
Katika makala yetu hivi leo, tunatupia jicho namna jamii eneo la Pwani ya Kenya zinajihusisha na shughuli za urejesho wa mifumoikilojia ya matumbawe.
Thu, 07 Dec 2023 - 146 - Mikoko: Wanawake Lamu mbioni kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Athari za mabadiliko ya hali ya hewa hazichagui mtoto au mtu mzima, akina mama wamelichukua kuwa jukumu lao kuhakikisha mikakati imefanikishwa katika harakati za kupunguza athari hizi haswa kupitia upanzi na uhifadhi wa mikoko
Katika kijiji cha Mtangawanda, jimboni Lamu pwani ya Kenya, tunakutana na kundi la akina mama ambao kupitia mafunzo, sasa ni wakereketwa wa mazingira.
Licha ya changamoto mbalimbali kukiwemo dini na hata ukataji haramu wa mikoko kutokana na umuhimu wake, kinachowatia moyo ni hatua walizopiga katika kipindi cha miaka 5 iliyopita, na hata cha ziada ni kufanikiwa kuchakata tena taka za plastiki ambazo ni hatari kwa ukuaji wa mikoko.
Mon, 27 Nov 2023 - 145 - Maendeleo kidogo katika mazungumzo ya mkataba wa kukomesha uchafuzi wa plastiki
Msikilizaji kwa juma moja, wajumbe kutoka mataifa takriban 175, walikusanyika jijini Nairobi kwa majadiliano ya awamu ya tatu kuelekea kuundwa kwa mkataba wa kisheria wa kimataifa kupambana na uchafuzi utokanao na taka za plasitki ikiwa ni pamoja na mazingira ya baharini.
Katika kipindi hiki, wajumbe wa serikali na wadau wengine kutoka mashirika yasio ya kiserikali walikuwa wakijadili mapendekeo ya maudhui yanayofaa kujumuishwa kwenye mkataba huo wa kisheria.
Baadhi ya nchi zimependekeza mkataba huo kuangazia matumizi endelevu ya bidhaa za plastiki kuanzia kwenye uzalishaji hadi matumizi yake, huku zingine zikipendelea mkataba huo kuangazia suala la uchakataji na matumizi ya tena ya plastiki.
Kwa kuanza makala yetu hivi leo, tunaye Henry Msuya, mjumbe wa Tanzania kwenye majadiliano ya mktababa wa kudhibiti taka za plastiki. Hapa anaanza kwa kueleza namna majadiliano yalivyokuwa wiki nzima.
Tue, 21 Nov 2023 - 144 - Namna mabadiliko ya tabianchi inavyozidisha mahitaji ya kibinadamu katika nchi tofauti dunianiTue, 14 Nov 2023
- 143 - Hali ya uchimbaji madini nchini DRC yatishia kutoweka kwa mji wa Kolwezi.Wed, 01 Nov 2023
- 142 - Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania, maarufu EACOPTue, 24 Oct 2023
- 141 - Jamii ya Endorois nchini Kenya yaendelea kutaabika kutokana na kupanda kwa kina cha ziwa BogoriaMon, 16 Oct 2023
- 140 - Utayari na mikakati ya nchi za Afrika Mashariki kudhibiti majanga katika kipindi cha El NinoWed, 04 Oct 2023
- 139 - Athari ya sekta ya nguo kwenye mazingira, inachangia asilimia 8 ya utoaji wa gesi joto duniani
Kulingna na UNEP, sekta hiyo inachangia asilimia 8 ya utoaji wa gesi joto duniani ambayo inachangia mabadiliko ya tabianchi.
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la mazingira la Greenpeace, vitambaa vinavyotumiwa kutengeneza nguo ni nyuzi za sanisia ambazo zinatengenezwa kutoka kwenye mafuta ya kisukuku ambayo pia ni hatari kwa mazingira
Fri, 22 Sep 2023
Podcasts similar to Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
- Conversations ABC listen
- Global News Podcast BBC World Service
- El Partidazo de COPE COPE
- Herrera en COPE COPE
- The Dan Bongino Show Cumulus Podcast Network | Dan Bongino
- Es la Mañana de Federico esRadio
- La Noche de Dieter esRadio
- Hondelatte Raconte - Christophe Hondelatte Europe 1
- Dateline NBC NBC News
- 財經一路發 News98
- La rosa de los vientos OndaCero
- Más de uno OndaCero
- La Zanzara Radio 24
- L'Heure Du Crime RTL
- El Larguero SER Podcast
- Nadie Sabe Nada SER Podcast
- SER Historia SER Podcast
- Todo Concostrina SER Podcast
- 安住紳一郎の日曜天国 TBS RADIO
- アンガールズのジャンピン[オールナイトニッポンPODCAST] ニッポン放送
- 辛坊治郎 ズーム そこまで言うか! ニッポン放送
- 飯田浩司のOK! Cozy up! Podcast ニッポン放送
- 吳淡如人生實用商學院 吳淡如
- 武田鉄矢・今朝の三枚おろし 文化放送PodcastQR
Other Science & Medicine Podcasts
- Choses à Savoir SCIENCES Choses à Savoir
- Dossiers OVNI Les dossiers OVNI
- En route vers les etoiles En route vers les étoiles
- ZOE Science & Nutrition ZOE
- Poussière d'étoile Ripley Media
- Thinkerview Thinkerview
- Ciel & Espace Ciel & Espace
- Sternengeschichten Florian Freistetter
- Radio Naukowe Radio Naukowe - Karolina Głowacka
- Geopop - Le Scienze nella vita di tutti i giorni Geopop
- Entiende Tu Mente Molo Cebrián
- Sixième Science 20 Minutes
- Meteor Český rozhlas
- Forensic Anthropology Companion Podcast Michael Kenyhercz
- Ça Se Passe Là-Haut Eric Simon
- IA qu'à m'expliquer Le Temps Podcasts
- Le nucléaire en clair Société Française d'Energie Nucléaire (Sfen)
- Dr Karl Podcast ABC listen
- Green IO Gaël DUEZ
- SCEPTICISME SCIENTIFIQUE Jean-Michel Abrassart