Filtrar por género

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

542 - Fahamu madhara ya vidhibiti mimba.
0:00 / 0:00
1x
  • 542 - Fahamu madhara ya vidhibiti mimba.

    Ungana na Agatha Kisimba katika kipindi cha Pro – Life utetezi wa uhai, Studio yupo na Bi. Frida Manga, Witness Joachim na Janeth Akkaro kutoka Pro life Tanzania, wakituongoza katika hitimisho la mada ya vidhibiti mimba.

    Fri, 17 May 2024 - 49min
  • 541 - Fahamu waraka wa kitume wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo II, heshima kwa wanawake.

    Karibu katika Kipindi cha Mtaguso Mkuu wa Vatcan, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume Mrao Rombo Jimbo Katoliki Moshi, mada anayozungumzia ni Waraka wa Kitume wa Baba Mtakatifu Yohane Paulo II  heshima kwa wanawake. Mtangazaji ni Ester Magai.

    Fri, 17 May 2024 - 56min
  • 540 - Fahamu historia ya Nabii Isaya.

    Karibu usikilize Kipindi cha Ujumbe wa Biblia na Padre Tutus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Jimbo Kuu la Mwanza, ambapo katika Kipindi hiki anaendelea kufafanua juu ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ya Upadre, akijikita zaidi katika historia ya Nabii Isaya.

    Fri, 17 May 2024 - 56min
  • 539 - Fahamu umuhimu wa Kusindika Vyakula.

    Ungana na Mtangazaji Esther Magai Hangu katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji Bi Maria Ngilisho Afsa lishe Mtafiti Mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, TFS, Mada Vyakula vilivyo Sindikwa.

    Fri, 17 May 2024 - 51min
  • 538 - Je, wafahamu faida ya kushughulisha Mwili.

    Ungana na Mtangazaji Agatha Kisimba katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji Bi Maria Ngilisho Afsa lishe Mtafiti Mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, TFS, mada Lishe na kuushughulisha Mwili.

    Fri, 17 May 2024 - 48min
Mostrar más episodios