Filtrar por género

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

2780 - Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2780 - Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024

    Ripoti mpya kuhusu mauaji nchini Australia, imeonesha kuwa idadi ya wanawake ambao wame uawa na wapenzi wao wa sasa au wazamani, imeongezeka kwa asilimia 28 mwaka huu hadi Juni 2023.

    Tue, 30 Apr 2024 - 20min
  • 2779 - Mafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki

    Zaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.

    Tue, 30 Apr 2024 - 07min
  • 2778 - Taarifa ya Habari 29 April 2024

    Mratibu wa maandamano yakupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake mjini Canberra, amesema waziri mkuu alidanganya kuhusu, kuto ruhusiwa kuzungumza katika tukio hilo.

    Mon, 29 Apr 2024 - 07min
  • 2777 - Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii

    Viongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya visu mjini Sydney.

    Sat, 27 Apr 2024 - 10min
  • 2776 - Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024

    Aliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.

    Fri, 26 Apr 2024 - 17min
Mostrar más episodios