Filtrer par genre

Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

815 - Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
0:00 / 0:00
1x
  • 815 - Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo

    Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia

    Tue, 30 Apr 2024
  • 814 - Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki

    Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa

    Tue, 30 Apr 2024
  • 813 - Sikiliza maoni yako kwenye makala Habari Rafiki Mada huru
    Fri, 26 Apr 2024
  • 812 - Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu

    Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.

    Thu, 25 Apr 2024
  • 811 - Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali

    Hivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato

    Wed, 24 Apr 2024
Afficher plus d'épisodes