Filtrer par genre

VOA Express - Voice of America

VOA Express - Voice of America

VOA

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.

2179 - Vijana waeleza iwapo mitandao ya kijamii imesababisha baadhi yao kuishi maisha feki, ila hali wanateseka. - Aprili 29, 2024
0:00 / 0:00
1x
  • 2179 - Vijana waeleza iwapo mitandao ya kijamii imesababisha baadhi yao kuishi maisha feki, ila hali wanateseka. - Aprili 29, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Mon, 29 Apr 2024 - 29min
  • 2178 - Kongamano la kimataifa la kidijitali la Connected Africa Summit lamalizika Nairobi, na kupendekeza mengi yatakayonifaisha vijana. - Aprili 26, 2024

    VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

    Fri, 26 Apr 2024 - 29min
  • 2177 - Dunia inaadhimisha siku ya Malaria kwa kauli mbiu "Kuharakisha mapambano dhidi ya Malaria kwa dunia yenye usawa zaidi". - Aprili 25, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Thu, 25 Apr 2024 - 29min
  • 2176 - Edwik anaeleza mafunzo aliyopata ya kuwalinda watoto wakati wa majanga katika warsha iliyoandaliwa na Raising Up Friendship ya Tanzania. - Aprili 24, 2024

    VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

    Wed, 24 Apr 2024 - 29min
  • 2175 - Kuongeza miundombinu ya mawasiliano katika maeneo ya vijijini ni moja ya njia ya kumpa fursa mwanamke wa kijijini sawa na wa mjini - Aprili 23, 2024
    Tue, 23 Apr 2024 - 29min
Afficher plus d'épisodes